Chuo Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa kimesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa ajili ya utoaji wa huduma za matibabu ya haraka kwa wafanyakazi wa Chuo. Hafla ya utiaji saini wa mkataba huo imefanyika tarehe 13 Januari 2025.
Mkataba huo umesainiwa na Rasi wa Chuo, Profesa Method S. Semiono, na Profesa Abel Makubi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa.
KITUO CHA MFANO CHA MALEZI YA WATOTO MUCE
Date: 22 Dec 2025
Usajili kwa mwaka 2026 umefunguliwa. Kituo kipo ndani ya Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa na Kinafanya shughuli zake kwa mujibu wa sheria
na taratibu za Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto.
BOFYA HAPA
Kupakua fomu ya kujiunga





-2-9k5tsv.jpg)
