Skip to main content
Nafasi za Malazi MUCE

Nafasi za Malazi MUCE

✨ Tangazo la Nafasi za Malazi MUCE ✨

Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kinapenda kuwataarifu wanafunzi na wadau wake kuhusu nafasi za malazi katika hosteli za Chuo kuanzia tarehe 14 Agosti hadi 30 Oktoba 2025.

Huduma hizi za malazi zinatolewa kwa bei nafuu na zinajumuisha:
🏠 Vyumba vya kulala kwa usalama saa 24
💧 Huduma za maji, umeme na usafi
⚽ Viwanja vya michezo na maeneo ya kupumzikia au kufanya kazi za ofisini

Mbali na hosteli, MUCE pia kina Kituo cha Afya, huduma za kibenki na usafiri, pamoja na kumbi kubwa na ndogo zinazokodishwa kwa ajili ya mikutano na shughuli mbalimbali.

📞 Kwa mawasiliano zaidi, piga simu:
065 556 2549 / 0744 976 935 / 0737 700 132

News Order
5